ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 4,115
- 2,792
Ndugu wana jf nimekuwa mara kwa mara nikijiuliza hili swali au slogani inayosemwa na watu wengi kuwa mwanamke akiolewa akubali kulala bila chu.p.i.najiuliza kuna madhara gani kwa mwanamke kulala na chu.p.i wakati ameolewa?mwenye uzoefu na hili anijuze/atujuze please.Jumapili njema