Hiyo ni case tofauti na mleta uzi alicholenga mkuu, huyo anaepokea pokea vyakula toka kwa asiowajua ni mlafi tu na hilo pigo ni stahiki yake.Ni kweli mkuu, kuna case nyingi hasa kwenye usafiri wa mabasi, unakuta abiria yupo stendi anatokea mtu from nowhere anakaa nae pale kumbe anamlia timing anapiga nae story zikinoga anatoa msosi anamkaribisha "karibu chakula ndugu yangu" bila kujua abiria anabugia kumbe zimetiwa dawa/viambata abiria anasinzia usingizi wa nusu kifo anakuja kushtuka yupo hospital vitu vyake vyote vishaporwa.
...
Hata ndani ya bus the same unapewa msosi na mtu uliekaa nae kumbe ni mwizi, kasafiri ili akuibie unasinzia unakuja kuamshwa na wenye bus, huna kitu ushalizwa.
Kula kwa tahadhari
Sio mawazo ya kimagharibi mkuu, ni kwa ajili ya usalama wa afya zetu. Unaweza kula sambusa zinazotembezwa mtaani? Huwa unajiuliza juu ya maandalizi yake mkuu again unafakamia tu, au kwa vile haikudhuru leo unadhani upo salama sana?Acha mawazo ya kimagharibi! Street food Iko Dunia nzima
Mtu wa hivi ni mlaku, yaani anakula popote akikaribishwa? Ujamaa unatusaidia sana ila tuchukue tahadhari. Watu wanaanza kuharibika taratibu.Ni kweli mkuu, kuna case nyingi hasa kwenye usafiri wa mabasi, unakuta abiria yupo stendi anatokea mtu from nowhere anakaa nae pale kumbe anamlia timing anapiga nae story zikinoga anatoa msosi anamkaribisha "karibu chakula ndugu yangu" bila kujua abiria anabugia kumbe zimetiwa dawa/viambata abiria anasinzia usingizi wa nusu kifo anakuja kushtuka yupo hospital vitu vyake vyote vishaporwa.
...
Hata ndani ya bus the same unapewa msosi na mtu uliekaa nae kumbe ni mwizi, kasafiri ili akuibie unasinzia unakuja kuamshwa na wenye bus, huna kitu ushalizwa.
Kula kwa tahadhari
Unaweza kula mapaja ya kuku yanatembezwa na mtu hata humjui? Najua kifo kipo na tunatembea nacho ila muhimu kuchukua tahadhari, huwezi kuvuka barabara kizembe eti kwa vile kifo kipo na tunatembea nacho.Ukiangalia binadamu kila tunapotembea tupo kwenye hatari ya kudhurika au hata kufa kabisa. Wanasema kutembea na kifo.
Ukiacha chakula ulichoandaa mwenyewe basi vingine vyote hata kama ni vya wapi vinaweza kuwa hatari kwetu. Lakini tutafanyaje? Hauwezi kuandaa kila siku kila wakati chakula chako kuna wakati inabidi ununue tu. Na kwenye kununua inategemea , uchumi wako ndio utaamua ule vya barabarani ambavyo ni hatari au ule vya hotelini ambaovyo ni hatari pia.
Sisi tunasema “ If we die, we die”.
Sawa mkuu, ila tusile vyakula ambavyo hatujui hata vimeandaliwaje. Pale njiapanda kwenda kwenu si unajua wanatulisha mbwa eeh mkuu🤣🤣Chakula kinaweza kuwa sumu mbaya sana mwilini. Lakini chakula ni tiba ya kwanza katika mwili wa binadamu.. Ni mtu tu aamue kula sumu ama tiba
Umejuaje?We mkuu kweli haupo serious na maisha,watu wanadiriki kula manii ambazo hawajui hata mtu yupo na magonjwa mangapi aliyoambukizwa au ya kurithi...unasema msosi!?
Watameza dawa bhana
Mtani, watanzania tunakula ovyo sana. Popote na mazingira yoyote tunakula tu, hatuangalii kitu zaidi ya kushibisha matumbo yetu. Hatari sana hii.Asilimia kubwa watu wamedhurika tayari, karibu 80% ya watanzania wana vidonda vya tumbo vinavyosababishwa na bacteria wa h pylori ,ambao njia moja wapo ya kuwapata ni kula mavyakula yasio salama.
Nimesoma vitabu mkuuUmejuaje?