Kwa uelewa wangu kiduchu wa biology ini huondoa sumu mwilini.
Je ulaji wa maini ya mfano ng'ombe utakua na madhara kwa binadamu? Maana nahisi huenda maini yakawa na mabakibaki ya sumu.
Naombeni msaada wakuu!
Kwani UKIMWI unaupata kwa kula INI?
Maini yana madhara kama hayakupimwa kuhakikisha hayana magonjwa.Maini huweza kuweka vimelea vya magonjwa na ndio maana huwa na majipu na hata minyoo ( flukes) na vyote hivi sidhani ni vizuri kwa afya yako. Jipu huweka usaha.... unaweza kula kitu chenye majipu/madonda na usaha?
Mtu mzima tena mwanaume huhitaji sana kula maini.Haya waachie wanawake ambao bado wanazaa na watoto wanaokua. Kula mchicha kwa wingi uongeze damu na kula nyama ya kawaida na magarage upate protein ya kutosha.