Kula kwa mamantilie ni risk

Mimi mwenyewe mama ntilie ,hebu usituharibie biashara. Inawezekana unakula vichochoroni na chini ya miti name vinavyopikwa barabarani kwa nini nywele zisiingie.
 
Mimi napenda kujipikia chakula changu kwangu, huwa sipendi kula kwa mama nitilie au sehemu wanapopika vyakula kiholela.

Mama ntilie nijuavyo wanaongoza kwa kuwa makini na wasafi, sijuwi mwenzetu ulikula wapi na kukuta pachafu na chakula chenye nywele.

Kwa upande mmoja niko nawe kuwa lazima tuwe makini na sehemu tunazokula ila bado niko tayari kula kwa hawa wakina mama kuliko chips kuku mtaani..
 
Mimi mwenyewe mama ntilie ,hebu usituharibie biashara. Inawezekana unakula vichochoroni na chini ya miti name vinavyopikwa barabarani kwa nini nywele zisiingie.

Wapo wanaofanya usafi tena wanapika chakula kizuri sana tu. Ila naongelea wale wanaoingiza uchafu kwenye chakula kwa makusudi eti kwa kisingizio cha kupata wateja wengi.
 
Maji ya maiti? Mkuu mbona tunatishana sasa.
 
Na tutakula sana...Dunia hii wapi utapata wali wa nazi jumlisha nyama rosti, maharage nazi, chachandu, chainiz vikiwa vya moto vinaipuliwa kwa buku mbili tu.

Hee! Mkuu mbona ninyi huko mnauziwa gharama sana? Sisi huku kwetu ni 1,200/=-1,500/=
 
Sina nia mbaya na mama nitilie ila nina asa shirika la chakula na dawa liangazie macho na kuweka utaratibu ulio bora kwa ajiri ya afya zetu.
 
Wengine wasela hatuna jinsi, tunarudi ghetto choka mbaya. Hata mda wa kupika haupo. Pia nina uhakika hao sio wote. Umemchunguza sana bata.
 

mkuu...wanauza sh ngapi ?
 
sina nia mbaya na mama nitilie ila nina asa shirika la chakula na dawa liangazie macho na kuweka utaratibu ulio bora kwa ajiri ya afya zetu.

hauko serious kabisa unadhani mama ntilie wako registered tfda hadi wawahakiki ubora wa chakula wanachopika? Ukikwepa mama ntilie na nyumbani kwako bahati mbaya ama makusudi mkeo akapika chakula kina unywele au nywele utaacha kula daima kwako? Usiue biashara ya wamama wetu coz sometime hata manyoya ya mbuzi ama ng'ombe yakikiingia chakula huonekana kama nywele mkuu! Kw nn unajipikia huishi na familia yako wewe mke wala wazazi? Jifunze kukaa kimya kwa maisha ya wenzio hasa kama haina madhara kwa watumiaji coz kuna familia ukikaribishwa huwezi kula wala kunywa hata maji lkn wao wako happy na maisha yao.
 
Hee! Mkuu mbona ninyi huko mnauziwa gharama sana? Sisi huku kwetu ni 1,200/=-1,500/=

Chai chapati mbili 700, Ugali buku, wali buku jero. Mtu shibaaaa kabsaaa, siku inapita. Mungu awabariki mamantilie.
 
Maneno yaso ushahidi.Unaufahamu moto?Basi huua/unguza kila kitu hadi shetani anauogopa.
 
Na tutakula sana...Dunia hii wapi utapata wali wa nazi jumlisha nyama rosti, maharage nazi, chachandu, chainiz vikiwa vya moto vinaipuliwa kwa buku mbili tu.

Hata ulaya wanakula kwa mama ntilie wao, asilimia kubwa ya watu wenye movements hapa dar wanakula kwa mama ntilie
 
Hee! Mkuu mbona ninyi huko mnauziwa gharama sana? Sisi huku kwetu ni 1,200/=-1,500/=

Tena kwa iyo buku unakomaa na kukomaa ongeza maharage nimalizie wali wangu.
 

Sawa utajipikia mwenyewe na je, maji ya kunywa unayonunua, soda, unga, n.k unajua wenye viwanda wanachanganya vitu gani ili kukabiliana na soko la ushindani la bidhaa hizo?
 

that's true
 

Alafu Utakuta Watu Kama Nyie Mnao Jiproud Kuwa Na Maisha Mazuri Kiuhalisia Ndio......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…