Mbona unaharibu biashara ya mama zetu mkuu!!!
Wengine ndio imetusomesha hiyo biashara na leo hii tunajua kusoma, kuandika na hata kufanya kazi za taaluma yetu...
Sijasema wote. Kwanini bro nisiseme kitu ambacho kinatendeka? Pawepo utaratibu maalumu ili watu wasiingize issue za ushirikina.
Ingekua hivyo asilimia kubwa ya watanzania wangeshakufa. Wacha tule tu.
Mimi napenda kujipikia chakula changu kwangu, huwa sipendi kula kwa mama nitilie au sehemu wanapopika vyakula kiholela.
Hii ni baada ya kugundua asilimia kubwa ya mama nitilie wanatumia ushirikina kwenye biashara zao, na hatimaye kuweka uchafu kwenye vyakula. Yaani utakuta eti ndani ya ubwabwa wamechanganya maji ya maiti au kachanganya mkojo wake wa asubuhi!!! Hii inatia kinyaa sana lakini ndio hivyo.
Kunajamaa yangu wa karibu kanunua maandazi baada yakuanza kula akakutana na nywele kibao ndani ya andazi.
Utakuta mara nyingine anachanganya choo cha mtoto ndani ya chakula ili apate wateja wengi. Hii inatia kinyaa sana.
Baada ya kugundua hivyo niliamua kupika mwenyewe kwangu.
Ni hayo tu.
Sijasema wote. Kwanini bro nisiseme kitu ambacho kinatendeka? Pawepo utaratibu maalumu ili watu wasiingize issue za ushirikina.
Hii ni baada ya kugundua asilimia kubwa ya mama nitilie wanatumia ushirikina kwenye biashara zao, na hatimaye kuweka uchafu kwenye vyakula. Yaani utakuta eti ndani ya ubwabwa wamechanganya maji ya maiti au kachanganya mkojo wake wa asubuhi!!!
Hebu isome sredi yangu vizuri nimetoa mfano.
Maandishi yako haya hapa chini yana maana kubwa kuliko unavyodhani mkuu...
Maneno asilimia kubwa kitakwimu maana yake ni zaidi ya asilimia hamsini...
Ukifikiria kimahesabu maana yake ni kama hii; katika kila mama ntilie wawili, mmoja hutumia ushirikina...
Je waona ni sawa hii mkuu?
Ukiachana na hilo, hiki ulichoandika umekiita ugunduzi na nijuavyo mimi matokeo ya ugunduzi huwa hayapimwi kwa asilimia isipokuwa matokeo ya utafiti...
Hapa pia sijaelewa elewa mkuu...
Hatuachi kula mama ntilie ng"o hata wakituwekea mavi.......wewe unadhani nitapata wapi sahani ya ubwabwa kwa buku....au maharage yaliyopikwa kwa mia tatu......nimesema siachiiii.....
wewe nenda kale NYUMBANI LOUNGE.....sahani moja ya ubwabwa inagharimu bajeti yangu ya kutwa nzima.....
Mimi nilikuwa mpezi sana wa kula kwa mamanitilie bro. Sijui kama wewe umewahi kula huko sijui.
Kusema asilimia kubwa haiwezi ikaleta maana ya zaidi ya nusu au chini ya nusu.
Ila inaleta maana ya kitu kikubwa na sio kidogo. Inaweza ikawa 10 au 90 ila sio 100 wala 0.
Neno kugundua linatokana na kwamba "katika hii sredi" ulikuwa huna nia ya kufanya utafiti ila katika kufanya jambo fulani ukajikuta umepata kitu fulani.