Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
Mimi napenda kujipikia chakula changu kwangu, huwa sipendi kula kwa mama nitilie au sehemu wanapopika vyakula kiholela.
Hii ni baada ya kugundua asilimia kubwa ya mama nitilie wanatumia ushirikina kwenye biashara zao, na hatimaye kuweka uchafu kwenye vyakula. Yaani utakuta eti ndani ya ubwabwa wamechanganya maji ya maiti au kachanganya mkojo wake wa asubuhi!!! Hii inatia kinyaa sana lakini ndio hivyo.
Kunajamaa yangu wa karibu kanunua maandazi baada yakuanza kula akakutana na nywele kibao ndani ya andazi.
Utakuta mara nyingine anachanganya choo cha mtoto ndani ya chakula ili apate wateja wengi. Hii inatia kinyaa sana.
Baada ya kugundua hivyo niliamua kupika mwenyewe kwangu.
Ni hayo tu.