englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hata kama ni bange hazifikii hapo..
Wamesha kunywa bangi sana na sasa wanakula bia, ngoja kamba ikatite patatapakaa samadi
Wamesha kunywa bangi sana na sasa wanakula bia, ngoja kamba ikatite patatapakaa samadi
Mkuu inanywewa au unataka kusema inavutwa? kama ukisema inavutwa jamaa watakuuliza je inakamba? najua lazima jibu lako litakua wanavuta kwa mdomo, unaonaje mimi na wewe tukikubaliana inanyonywa au inafyonzwa? Tumia akili huwezi kusoma heading ilivyosema kula bia je bia inaliwa?Sidhani kama bangi inanywewa mkuu!