PostGE2025 Kukwepa kadhia ya D9 tunasafiri kwenda mkoani Jumapili (7/12/2025)

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kukwepa kadhia ya Maandamano Dar, D9 je utasafiri kwenda Mkoani?

  • Nitakwenda mkoani mpaka hali ikitulia

    Votes: 4 28.6%
  • Nitabaki hapa hapa Dar

    Votes: 4 28.6%
  • Nitashikiri kikamilifu kwenye maandamano

    Votes: 9 64.3%

  • Total voters
    14
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20251203_082736_0000.png

Ni muhimu kwa nchi za Afrika kuwa na ufahamu wa kina kuhusu masilahi ya nchi za kigeni na jinsi yanavyoweza kuathiri mchakato wa kisiasa na kijamii. Kujenga uwezo wa ndani, kuimarisha demokrasia, na kuendeleza elimu ya raia kunaweza kusaidia katika kupunguza athari za matumizi mabaya ya wanaharakati na kuimarisha uhuru wa ndani. Aidha, ni muhimu kwa nchi za Afrika kuunda sera zinazolinda masilahi yao na kuhakikisha kwamba rasilimali zao zinatumika kwa faida ya wananchi wao. #TANZANIA #SIASA
 
View attachment 3510762

Hivi huoni watu wanatekwa na kuuwawa hata kabla ya maandamano huoni uchaguzi ulivyo wa wizi sasa vile vitu ndio wananchi wanaandamana kuvipinga baada ya mazungumzo kushindikana acha kuwa mpumbavu
 
Kama wewe siyo muhalifu haina haja ya kuondoka safari hii hatakufa tena asie na hatia ila kila nyumbu atakaefanya vurugu akaiba au kuharibu mali yoyote atafia hapohapo mbele ya mali aliyoiba.

Safari hiii hawataachwa hadi jioni kama walivyoachwa mara ya kwanza safari hii utafia eneo la tukio ulilofanyia uhalifu.
 
Hivi huoni watu wanatekwa na kuuwawa hata kabla ya maandamano huoni uchaguzi ulivyo wa wizi sasa vile vitu ndio wananchi wanaandamana kuvipinga baada ya mazungumzo kushindikana acha kuwa mpumbavu
Unaelewa kweli dhana ya maandamano ndugu Genius?
 
Anotaka kuja kupumzika Zenji plz anambie

Nitamuandalia trip nzuri tu
 
View attachment 3510762
Ni muhimu kwa nchi za Afrika kuwa na ufahamu wa kina kuhusu masilahi ya nchi za kigeni na jinsi yanavyoweza kuathiri mchakato wa kisiasa na kijamii. Kujenga uwezo wa ndani, kuimarisha demokrasia, na kuendeleza elimu ya raia kunaweza kusaidia katika kupunguza athari za matumizi mabaya ya wanaharakati na kuimarisha uhuru wa ndani. Aidha, ni muhimu kwa nchi za Afrika kuunda sera zinazolinda masilahi yao na kuhakikisha kwamba rasilimali zao zinatumika kwa faida ya wananchi wao. #TANZANIA #SIASA
Nani ANAUA, ANAPORA HAKI na KUTEKA??
 
Huko mkoani unapokimbilia huwezi kujihakikishia usalama maana kwa matukio na ushenzi wa policcm mauaji asilimia 90% hawakua waandamanaji[ hayakutokea barabarani] .

Watu wamepigwa risasi mitaani, migahawa, sehemu za starehe, kumbi za burudani na majumbani.
 
Back
Top Bottom