Kukwama kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA

Astro world

Member
Sep 3, 2020
7
1
Habari zenu wakuu,

Naombeni msaada kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA. Pale kwenye kipengele cha kukituma cheti inagoma kabisa ku attach file yani kila ni ki click pale kwenye ku choose file haiendi popote inabaki pale pale na mtandao uko vizuri kabisa hauna shida, mwenye uelewa kwenye hili anisaidie ni nini cha kufanya please!πŸ™πŸ™
 
Nafikiri ni system yao tu ndo inasumbua mana hata mimi kudownload chet imegoma
Duh bc huenda ikawa hivyo maana ni wiki sasa kila siku najaribu lakini shida iko palepale, ukifanikiwa naomba tujuzane ndugu
 
Angalia size ya document yako iwe pdf isiyozidi 500kb.


Kama bado unapata changamoto kuhakiki cheti RITA tunaweza kuwasiliana kukusaidia kukamilisha 0752026992.
 
Nenda www . ilovepdf . com then compress file.

Shida attachment yako ni kubwa hivyo inakubidi upunguze ukubwa ili ikubali.
 
Angalia size ya document yako iwe pdf isiyozidi 500kb.


Kama bado unapata changamoto kuhakiki cheti RITA tunaweza kuwasiliana kukusaidia kukamilisha 0752026992.View attachment 2702839
Tatizo sio size ya cheti changu chet kina kb 221 ila shida iko hapa ndugu hapa bonyezeki kabisa kila ninavyojaribu na mtandao hausumbui kabisa πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Jaman mm nimekwama hata kucreate account tu. Kila nikijaza particulars kisha nikabofya eneo la register Ina load takribani dakika mbili kisha inaandika fail. Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…