jamani wana jf naomba tuchangamkie ofa ya babalao mwl wa ujasiriamali alotoa hapa jf kati ya watu 10 mm ni wa 1 nahitaji watu wengine 9 jamani ni kwa faida yetu wenyewe.
jamani walotayari tuwasiliane hapa jf na kupitia pm tupeane namba zetu.
nakaribisha maoni zaidi wakuu