......hii mada ina akili sana aisee....mpaka najishtukia/kuogopa kuchangia maana hata ukiniuliza "wakati ule" kwanini nilikubali kukumbushana vilivyosahaulika/'visivyosahaulika' ....maana sina jibu mpk leo, ila 'pride' ya "nikimtaka nitampata!"...(am ashamed to write that,....ila predatory & territorial instincts zimenipelekea kujielezea hivyo)
.....mie Nitaungama, maana eti kuna mijitu humu inajidai haijawahi 'Re- sit'.... 😉
..... "MWONJA ASALI HAONJI MARA MOJA"....
Binafsi nawaambia Hasara zinazidi faida kwa kiwango kikubwa sana, ikiwamo tendo lenyewe.
.... mara nyingi (duhh!, msijedhani ni mzoefu wa kukumbushia) Hopes hazikidhi Expectations....i.e "wear & tear," za wahusika wenyewe...na hivyo kupelekea kujutia kwanini hamkuacha zile Sweet Memory zibakie kwenye daftari la 'wapiga kura'