Tatizo limeshatokea, ucjipe presha bure, haraf ungekuwa vzur uongee na huyo mdada mkubaliane kabisa kuhusu nn? Cha kufanya ikitokea bahati mbaya huyo mume wake akijua kuwa mimba cyo yake, Pole.
Yaani wewe bwana.....ulienda kujiachia kwa mapana na marefu kama ilikuwa Mali yako vile na ukasahau wewe ni kibaka! We subiri mwenye Mali ya kwake aje. Naamini jibu utalipata na you will enjoy the show
Ndo maana kuna wakati nasikia harufu za nepi humu, siku nyingine nasikia harufu za maziwa, juzi kati ile na login nakutana na mapampasi kibao, kumbe kumejaa watoto mimi sikujua kabsaaaaaaa.