digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,903
- 14,375
Mbona kicheko?Afande
Hoi kivipi?Kiswahili in lugha pana sana, but hilo neno afande limeniacha hoi
Mtoa mada wewe ni
" AFANDE "
Afande simon siroAfande sele unaitwa huku
We ni afande?Hivyo vinaitwa visawe vipo vingi sana kwenye lugha adhimu ya kiswahili
Mazingira na matumizi yake ndyo hutofautisha kisawe kimoja na kingne
SawaWe ni afande?
Sasa hao ukikutana nao ndo wanao.... Kumbe Unapenda kukutana na afande , hahahahahaAisee! kesho nikikutana na maafande watanikoma
Vipi nawewe in afande?Sasa hao ukikutana nao ndo wanao.... Kumbe Unapenda kukutana na afande , hahahahaha