Kukua kwa Lugha,tuwe makini tunapotumia maneno haya

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
7,778
14,093
Katika pitapita ya kujisomea nimekutana na neno Afande ambapo nimesituka sana na maana ya pili ya neno hilo, hii inatokana na Tabia yangu kupenda kuitana na rafiki zangu "afande" hapa nimejifunza kuwa kuna maneno mengi tumekuwa tukiyatumia kwa kujua maana moja tu ya neno husika kumbe kuna maana nyingine

>>>
fb99d3dea1d688aebaaed0afc9407a6b.jpg
<<<<<<<

Hebu tujuzane maneno mengine ya kiswahili yenye maana tofauti na iliyozoeleka ili tuweze kupanuana katika hii lugha adhimu

Ahsanteni,Mungu awabariki
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom