Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 20,025
- 16,135
Umewala wote?Banda langu kabaki kuku mmoja tu.
Umewala wote?Banda langu kabaki kuku mmoja tu.
Jaribu kuwa tenganisha wale wanao dhoofu na walio vizuri, then watafutie antibiotics kama vile Amplollium 20% au CDC, uwe unawachanganyia kwenye Maji kwa mda wa Siku 7-14 wote, wale waliodhoofu sana jaribu kuwapa antibiotics za binadamu( fragile) kwa kuwa nywesha nusu kidonge au kidonge kizima kulingana na ukubwa wa kuku
Pole mpambanaji!!!!!
Ugonjwa ukiingia kwa kuku huwa unabakisha mmoja tu wa kuja kuwasimulia wengine utakaowaleta.
Jitahidi kuwa na rekodi ya tarehe unayowachanja na ile utakayowachanja tena.
Chanjo muhimu ziko tatu, kideri, ndui na gombolo.
Zingine xipo pia usisahau antibiotics utakazoshauriea na wataalamu wa mifugo.
Usikate tamaa
There's no easy task
Watenge kuku wagonjwa, wazima wapatie chanjo ya mdondo, hao wagonjwa mwone daktari mifugo akuelekeze antibiotic itakayofaa! Hongera kwa changamoto..
Acha telephone farming,hakikisha umeshuhudia mizoga au ht hao kuku wanapoumwa na sio kuambiwa na mfanyakazi.
Watenge wagonjwa,wape antibiotic kwanza,homa ikipungua wape chanjo husika.
Zingatia usafi wa banda na next time nunua vifaranga cuz ni rahisi kufuatilia malezi kuliko kuku wakubwa.
kwa dalili hizo huo ni ugonjwa wa kideri ambao kuku wakiwa na vimelea vya hao virus kupona ni nadra sana.hivyo jaribu kuwapa pilipili kichaa huwa inasaidia,na kama hawakupewa chanjo basi huenda wakabaki waliochanjwa pekee
Kununua kuku ili kuwafuga hatua ya kwanza ni kuwapa antibiotic for 5-7 days and then you vacinate them starting with newcastle and then gomboro after 14 days. short 2that ur in 4trouble.
Ushauri Mzuri. Ubarikiwe sana.Kununua kuku ili kuwafuga hatua ya kwanza ni kuwapa antibiotic for 5-7 days and then you vacinate them starting with newcastle and then gomboro after 14 days. short 2that ur in 4trouble.
wanyweshe wagonjwa wote huenda wakapona.
Sawa sawa nashukuru kwa msaada wako je pili pili kichaaa yenyewe nawapeje kwenye chakula au kwenye maji nawapa au niwanyweshe wagonjwa wote??
Pole sana, hicho ni kideri na kama kinyesi chake ni anahara tena kina ukijani na njano njano na huku anashusha mabawa basi bila shaka ni kideri (new castle disease), na huwa inasambaa kwa njia ya hewa kwa kukohoa au kupiga chafya... muhimu kuwatenga wale wazima na wagonjwa, mara nyingi ikitokea hivyo hata wale wazima unakuta wameshaathirika sema wako kwenye incubation period na dalili zinatokea baadae...lakini kuna ambao unakuta wana kinga anma walichanjwa huko walikotoka au basi tu wana kinga yao ya asili, japo ni wachache ( kama alivyosema mdau hapo juu kuwa huwa wanakuja kuwa mashuhuda kwa wengine watakaokuja). kwa wafugaji wa kuku wanajua sana hii kitu nadhani pia Mungu kaiweka vinginevyo kizazi cha kuku kingekuwa kimetoweka.. uwe unazingatia chanjo, ya magonjwa mbalimbali na unapomnunua kuku mgeni usimchanganye kwanza na wengine kabla ya kumchanja na kujiridhisha.. vile vile ni vizuri basi ukiwa mfugaji serious uwe na mtaalamu wa mifugo atakaekuwa anakutembelea na kukupa ushauri kuhusu nini ufanye kuanzia mabanda, matunzo, na hata lishe ili kuwa na tija.. goodluck
Namimi nashangaa kwanini alisisitiza kununua kuku wasiochanjwa.Kununua kuku ili kuwafuga hatua ya kwanza ni kuwapa antibiotic for 5-7 days and then you vacinate them starting with newcastle and then gomboro after 14 days. short 2that ur in 4trouble.
Pole sana mkuu! New castle ni kila baada ya miezi mitatu,antibiotic ni six days kwa vifaranga wa day1 then plain water siku1 then antibiotics mpk cku ya 14 unachanja new castle. Ufugaji una changamoto hasa magonjwa ila ukizingatia utainjoi
Mkuu wanafanana wote?Nashukuru sanaa kwa huu ushauri asante sanaa tena sanaaa mkuu...nitakuwa nafanya hivyo sasa hivi wala hamna neno....mkuu sasa kama nanunua kidogo kidogo inakuwaje hapo itakuwa ngumu kujua yupi nimempa chanjo si ndio??