The_vision
Member
- Feb 9, 2022
- 17
- 64
Wafugaji wenzangu naombeni dawa,kuku wangu wamekua wanakohoa sana kama Harmonize ( khoo! Khooooh! Yaaaaw yaaaaaaw! Jeshiiiiiii ) na kusinzia sinzia kama mateja, naombeni dawa gani nitumie ili wapone
Heading na contents havifanani.Wafugaji wenzangu naombeni dawa,kuku wangu wamekua wanakohoa sana na kusinzia sinzia kama mateja, naombeni dawa gani nitumie ili wapone
Yani hiyo heading imenichekesha sana😂😂😂😂haupo serious mkuu
Kila nyimbo inavyoanza lazima akohoeHeading na contents havifanani.
Harmonize anakohoaje?
Wawekee biti mtoe hit song mkuu.












sikutarajia kama nitacheka usiku huu 
daah😀😀😀😀😀Khoooo! khoo! khooo!
Yaaaw! yaaaaaw!
Hahahahhahahaha
Jeeeshii iiiiiiii
Koondeeee boyiii
I'm your teacher, teacher konde😀😀😀😀😀
Manendaniwa..Khoooo! khoo! khooo!
Yaaaw! yaaaaaw!
Hahahahhahahaha
Jeeeshii iiiiiiii
Koondeeee boyiii
Wafugaji wenzangu naombeni dawa,kuku wangu wamekua wanakohoa sana na kusinzia sinzia kama mateja, naombeni dawa gani nitumie ili wapone