Kuku Wangu hatagi


mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Messages
7,630
Likes
12,687
Points
280
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2015
7,630 12,687 280
Mara nyingi kuku kama hao wanakuwa na mafuta mengi sana tumboni hivyo wanashindwa kutaga. Mchinje umle tu maana kama kweli mafuta ndio yanamfanya asitage anaweza kufa ghafla
 

Forum statistics

Threads 1,215,400
Members 463,166
Posts 28,546,618