godizila
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 846
- 387
Wakuu habarini za asubuhi Nina Kuku wangu tetea alitaga mzao Wa kwanza mayai 8 akakataa kuyatamia
Ilipofika muda Wa kutaga mzao wake Wa pili alianza kutetea kwa kasi sana na akitaka kutaga anaingia mahali pa kutagia anakaa hapo karibu nusu SAA anatoka nje bila kutaga yai hali hii imejirudia sana takribani wiki ya tatu sasa ......
Naomba ushauri wenu wakuu
NB; usiwe kuchinja