Kuku wakubwa wa nyama

Kuku wakubwa wa nyama

Mkomaly

Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
32
Reaction score
3
Habari zenu wanajamii?
Nina shida ya kuku wanyama wakubwa kuanzia 1.5kg nakuendelea,bei ni maelewano katiyangu na mfugaji.Nahitaji zaid ya kuku 3000kg kwa wiki wakiwa fresh na wameshachinjwa.Tafadhali mwenye nao ani PM no yake.
 
Ninao nipo kibaha kwa Mathias unanunua kwa bei gani ?
 
Habari zenu wanajamii?
Nina shida ya kuku wanyama wakubwa kuanzia 1.5kg nakuendelea,bei ni maelewano katiyangu na mfugaji.Nahitaji zaid ya kuku 3000kg kwa wiki wakiwa fresh na wameshachinjwa.Tafadhali mwenye nao ani PM no yake.

Ninao nipo kinondoni,unanunuaga sh.ngp
 
Back
Top Bottom