Kuku wa nyama wanauzwa mjini moshi

Kuku wa nyama wanauzwa mjini moshi

lowale

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
209
Reaction score
109
jamani ndugu zangu mimi ni mfugaji wa kuku wa nyama ninatafuta soko la kuku,
ninao kuku 800 wa nyama na wana uzito wa kilo 1.5
kwa mawasilianonijibu nitakutafuta nakuletea hadi mlangoni kwa bei ya sh 6000
 
Huo mlango lazima uwe Moshi au popote pale hata Arusha n.k., na je gharama ya usafiri ni ya nani?
 
Nikikuletea hadi arusha bri itakuwa 6500 mheshimiwa
 
Arusha nitakuletea hadi stend ya mkoa kwa aliye serious naomba unitumie sms kwenye sim yangu 0715407588 usibip wala usipige
 
Ukiwa na oda kubwa kuanzia 50 mkuu hata dar nitakufikishia stend ya ubungo kwa 6500
 
Back
Top Bottom