Kuku wa Nyama wanapatikana hapa........................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuku wa Nyama wanapatikana hapa...........................

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mamndenyi, Feb 2, 2012.

 1. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,105
  Likes Received: 6,579
  Trophy Points: 280
  Salaam

  Wana jamii nawasalimu sana,

  Kuku wa nyama wanapatika kwa simu hii hapa
  0755 557094
  Ni majogoo ya nyama, yametunzwa vizuri, wana uzito wa
  kuanzia kilo tatu na kuendelea,
  tafadhali wasiliana nasi, huduma ya kukuletea mzigo hapo
  ulipo ipo kwa atakaenunua kuku zaidi ya kumi.

  Jenga afya yako kwa kula kuku wa asili.

  Nashukuru jf kwa kuwa nimepata
  mtu wa jumla na amechukuwa kuku
  wote 200.

  ikitokea bachi nyingine nitawataarifu.

  jf ni zaidi ya tunavyoifahamu.
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,105
  Likes Received: 6,579
  Trophy Points: 280
  the message deleted by
  mamndenyi
   
Loading...