Kuku wa kutaga

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
ASHAKUM SI MATUSI...kwa kipindi hiki mi nawafananisha magamba na kuku wa kutaga kwani wanagusa kila mahali..sitaki kuwafundisha propanganda lakini mnachemka sana..kuna magamba wapo mitandoni kuichafua cdm lakini unakuta habari zao hazina mashiko kabisa..unajua cdm imekuwa kama imani na wanachama wengi wa cdm wanajielewa kwani hawapo kwenye chama kwa maslai..vijana wengi ambao wapo ccm na jamaa zangu wakubwa tu,,wapo ccm kimaslai wamepewa tenda ndogo ndogo ili waendelee kuwa ndani ya chama na wakiwa na matumaini siku watachaguliwa kuwa wakuu wa wilaya..sasa huku chadema hatuna hilo hatuko kimaslai tunataka mabadilkiko katika nchii hii,,tunataka matumizi mabovo yapunguie kuwe na utawala bora urasimu upungue serikali,elimu bora,afya bora na ajira kwa vijana...sasa hizo propaganda za kutaga haziwaingii makamanda...muda wetu utafika na cdm itatawala hii nchi...viva chadema viva
 
Kweli ndugu! Signature yangu inakuunga mkono.
 
Duh! Nimefungua fasta nikidhani kuna taarifa kuhusu kuku wa kutaga. Tena nilidhani ntapata elimu kuhusu labda jinsi ya kuwafuga!!! Kwani CDM ndio kuku wa kutaga au CCM?
ASHAKUM SI MATUSI...kwa kipindi hiki mi nawafananisha magamba na kuku wa kutaga kwani wanagusa kila mahali..sitaki kuwafundisha propanganda lakini mnachemka sana..kuna magamba wapo mitandoni kuichafua cdm lakini unakuta habari zao hazina mashiko kabisa..unajua cdm imekuwa kama imani na wanachama wengi wa cdm wanajielewa kwani hawapo kwenye chama kwa maslai..vijana wengi ambao wapo ccm na jamaa zangu wakubwa tu,,wapo ccm kimaslai wamepewa tenda ndogo ndogo ili waendelee kuwa ndani ya chama na wakiwa na matumaini siku watachaguliwa kuwa wakuu wa wilaya..sasa huku chadema hatuna hilo hatuko kimaslai tunataka mabadilkiko katika nchii hii,,tunataka matumizi mabovo yapunguie kuwe na utawala bora urasimu upungue serikali,elimu bora,afya bora na ajira kwa vijana...sasa hizo propaganda za kutaga haziwaingii makamanda...muda wetu utafika na cdm itatawala hii nchi...viva chadema viva
 
Akili huna ww,jiulze kwanza matokeo uliyokwisha yapata yanajiuza mpaka uje kwa GT kuleta pumba zako hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom