Kuku wa kizungu wanahitajika

Kuku wa kizungu wanahitajika

bilengeh

Senior Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
135
Reaction score
86
Habari za saa hizi wapendwa,

Nina order kubwa ya kuuza kuku wa kizungu mwenye kuku hao ani PM.
 
Habari za saa hizi wapendwa

Nina order kubwa ya kuuza kuku wa kizungu mwenye kuku hao ani pm
unataka wawe weupe na pua ndefu, wawe na manyoya mareeefu, au na maanisha nini kuhitaji "kuku wa kizungu"
 
unataka wawe weupe na pua ndefu, wawe na manyoya mareeefu, au na maanisha nini kuhitaji "kuku wa kizungu"
Sijui huyu jamaa ni Msukuma? Eti kuku wa kizungu!
 
Hata mimi nahitaji nanunua kwa 5000 kwa dar mwenye nao aje pm ni serious business
 
Tatizo bei zenu haziko realistic, chakula chakuku kimepanda bei sana mkuu. yani kuanzia 5500 unaweza ukaongea. anyway am Good supplier wa kuku wa kienyeji bei ya jumla 14000.
 
Hata mimi nahitaji nanunua kwa 5000 kwa dar mwenye nao aje pm ni serious business
Mkuu kuku wapo wazuri tu!
Lakini kwa bei hiyo huwezi pata labda uchukue ambao hawajakomaa vizuri yaan miezi 2 mpaka 2 na nusu.
Ukitaka kuku wakubwa na wazuri tutafanya biashara
Tsh 5800/= each
 
Back
Top Bottom