Kuku wa kienyeji wanauzwa...!

Kuku wa kienyeji wanauzwa...!

kaka nilikuwa kwa banda mwanangu, haw kuku live na mfugaji na mkuzaji mimi mwenyewe, basi tu nimeshindwa kuaploadvideo ungejionea mwenyewe! kiukweli ni wachangamfu na wamepata chanjo tayari.
Weka picha basi tuzione, tukuone na wewe ukiwa bandani kama ni mfugaji kweli au dalali
 
HAYA SASA WAFUGAJI WA KUKU JAMAA KAISHA WAKUZIA NI KUTIA PUMBA TUU...! CHANGAMKIENI HAWA KUKU SIJAJUA JAMAA ANASHIDA GANI MPAKA ANAWAUZA WADOGO HIVI...! anyway nimewapenda sana!
 
Sasa akipiga picha na kuku ndo utajua kua yeye anafuga au dalali, acha umbulula ndugu..... Piga hizo namba ukanunue
 
Mimi nataka wa mwezi na nusu nipm tufanye kazi,asante
 
Weka na bei kabisa ili wajasiriamali wajisaule mkuu. Na useme unapatikana wapi. Weka tangazo lililokamilika.
 
hapo juu bei 7000 mbona Ipo hApo juuu mkuu napatikana kimara baruti...!
Weka na bei kabisa ili wajasiriamali wajisaule mkuu. Na useme unapatikana wapi. Weka tangazo lililokamilika.
 
Weka na bei kabisa ili wajasiriamali wajisaule mkuu. Na useme unapatikana wapi. Weka tangazo lililokamilika.

Sorry mkuu miwani yangu ya mbao haikuona bei kumbe ni 7000. Mkuu mbona bei kali hivi? Najua kuna gharama kubwa za kuatunza ila kwa wa kienyeji naona kama bei kubwa kidogo. Je hawa ni wale chotara wa kienyeji? Otherwise, kama ni wewe unawafuga ninakusifu sana umejitahidi. Ninapenda sana mifugo hii midogomidogo inasaidia sana hasa siku hizi tunavyojitahidi kukaa mbali na nyama nyekundu.
 
kaka nawafuga mwenyewe, bei naweza kushusha kidgo ingawa kwa mfugaji anaelewa sana operational cost ni kubwa sana, na ni moja sababu ya kutaka kuwapunguza gharama ya chakula ni kubwa sana,uwezi amini leo debe ya pumba ni shilingi 5000 mwanangu cost sana mpaka hapa walipo.!

Nimekupata mkuu, kweli chakula ni ghali sana. Mimi ninao wachache wa kienyeji na chakula natengeneza mwenyewe ili kuokoa gharama. Ngoja nijifikirie nione kama ninaweza kuchukua hapo kiasi maana si unajua tena kazi kama hizi tunaachia vijana na inabidi wawe smart katika utendaji. Ila hujajibu kama ni chotara.
 
Nihybridi kiukweli wanakua kwa haraka sana ni product ya JKT RUVU,
Nimekupata mkuu, kweli chakula ni ghali sana. Mimi ninao wachache wa kienyeji na chakula natengeneza mwenyewe ili kuokoa gharama. Ngoja nijifikirie nione kama ninaweza kuchukua hapo kiasi maana si unajua tena kazi kama hizi tunaachia vijana na inabidi wawe smart katika utendaji. Ila hujajibu kama ni chotara.
 
Asante ila bei kali sana. Nita sms tuongee nichukue wachache mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom