Kuku wa kienyeji wanauzwa...!

Kuku wa kienyeji wanauzwa...!

kaka hybridi ni machotara ambayo yamezalishwa baada ya kuzalishwa/ kupandishwa mara kadha kwa kuku wa kienyeji ni bengu kubwa sanawamo hadi KUCHI...!
Hapo pekundu fafanua kidogo,ni wa kienyeji au chotara?
 
Mkuu mm nataka 20 vipi 100k unachukua?Kama unachukua ni PM!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
we chali vipi naelewa sana, mambo hiii sawa, before ujatuma post tano huwezi kupm mtu and by the time najaribu kufanya hivyo ilikuwa bado acha acha USHAPU MSHAMBA WEWE....!
Hahaha kweli JF burudaniz uliza pm ni nini kwanza
 
cjakupata na 100k emu fafanua by the way nauza kwa package ya kuanzia kuku 10
Mkuu mm nataka 20 vipi 100k unachukua?Kama unachukua ni PM!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
100k ni Laki Moja Mkuu kwa Vifaranga 20

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
100k ni Laki Moja Mkuu kwa Vifaranga 20

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mwanangu kwa bei hii itakuwa ni majanga kwangu kaka afu tayari hawa ni kuku siyo vifaranga labda tuwaite mitetea(middle age) au wengne naona wanawaita growers....! ukweli ukiambiwa walivyo na umri wao hautasita kuwanunu sure!
 
jamani karibuni mkanunue kuku bei siyo kali, after two weeks watakuwa elfu kumi nitawaarika tena baadae wiki 2 zijazo...! n hawahawa kuku!
 
Nilifurahi sana nilivyoona tangazo lako maana nilikuwa nahitaji sana kuku wa kienyeji lakini unisamehe bure tu ulivyosema ni wale wa ruvu jkt nimekata tamaa hapohapo
 
Kuna wakati niliwafuga wengi tu kama 200 hivi na mwanzoni walikuwa vizuri mno mpaka kila anayepita alikuwa anawatamani lkn huwezi amini kabla hawajaanza kutaga karibia asilimia 80 iliteketea sasa sijui kuna kitu mimi mwenyewe nilikosea au ni kwakuwa asili yao ya uchotara hawako resistant na magonjwa kama walivyo wale wa kienyeji halisi tokea hapo roho ikawa na kinyongo nao
 
hawa wakwangu wanaishi kwa muarobaini tu...! lakini pia natafuta ushauri wa watalaam wa mifugo, sijaona kama wananisumbua istoshe wa wana uwanja mkubwa ambao huwa nawaachia wanazurula kumefensiwa...! hukuwa mwangalifu au labda mazingira uliyokuwa unawaweka...! anyway wasiwasi ako tu...! kuku wanaitaji high care ata kama ni ugonjwa utajua kabla hali haijawa wesi..! ujue kuna chanjo sidhani kama ulifuatilia frsh!
Kuna wakati niliwafuga wengi tu kama 200 hivi na mwanzoni walikuwa vizuri mno mpaka kila anayepita alikuwa anawatamani lkn huwezi amini kabla hawajaanza kutaga karibia asilimia 80 iliteketea sasa sijui kuna kitu mimi mwenyewe nilikosea au ni kwakuwa asili yao ya uchotara hawako resistant na magonjwa kama walivyo wale wa kienyeji halisi tokea hapo roho ikawa na kinyongo nao
 
Inawezekana kabisa ni makosa upande wangu si unajua tena mambo ya kuwaachia vijana kila kitu saa zingine hawafuati maelekezo. Nikibadiri mawazo nitakucheki japo hata wachache wakuchezacheza uwanjani
 
hamna shida kaka ila after two weeks nadhani watakuwa wamepanda bei maana wankuwa kwa kasi sana na gharama za kuwatunza zinapanda sana!!
Inawezekana kabisa ni makosa upande wangu si unajua tena mambo ya kuwaachia vijana kila kitu saa zingine hawafuati maelekezo. Nikibadiri mawazo nitakucheki japo hata wachache wakuchezacheza uwanjani
 
hao chotara uwezo wao wa kuatamia mayai ni mkubwa au mdogo,maana kuna chotara wengine wanatabia za kuku wa kisasa wanataga ila hawaatamii
 
HAYA SASA WAFUGAJI WA KUKU JAMAA KAISHA WAKUZIA NI KUTIA PUMBA TUU...! CHANGAMKIENI HAWA KUKU SIJAJUA JAMAA ANASHIDA GANI MPAKA ANAWAUZA WADOGO HIVI...! anyway nimewapenda sana!

Mzigo wa kuwalisha hali kuwafikisha hatua ya kuliwa ni mzito sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom