Kuku nao wamechoka kuliwa

baba-mwajuma

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,710
4,450
Tumezoea kuku kama kitoweo au chanzo cha mayai, na ni nadra kumkuta kuku mwenye kipaji labda mbwa au paka.

Cha kushangaza kwenye mashindano ya got talent kuku mmoja ameletwa anapiga kinanda, kuku huyu ambae amesoma alama za nyakati ili asichinjwe na kuliwa anaitwa jokgu

Muangalie hapa

Cha kushangaza zaidi sasa, kuna wahenga humu jukwaani wanashindwa kipaji na huyu kuku maana hata kinanda wengine hawajui kipo vipi.
 
niliiona hii kwenye british got talent, hata simon mwenye msimamo kama salama wa bongo star search kwa kutoa credit, alibaki mdomo wazi
 
Tumezoea kuku kama kitoweo au chanzo cha mayai, na ni nadra kumkuta kuku mwenye kipaji labda mbwa au paka.

Cha kushangaza kwenye mashindano ya got talent kuku mmoja ameletwa anapiga kinanda, kuku huyu ambae amesoma alama za nyakati ili asichinjwe na kuliwa anaitwa jokgu

Muangalie hapa

Cha kushangaza zaidi sasa, kuna wahenga humu jukwaani wanashindwa kipaji na huyu kuku maana hata kinanda wengine hawajui kipo vipi.

Ili kufahamu kama huyo kuku ni talented apewe kinanda kingine tofauti na hicho ambacho ni manual na rangi tofauti. Kwa sababu kuna uwezekano mkubwa hizo keys ni transparent na kinanda ni computerised, hivyo zinaonesha chakula anachopenda kuku, hivyo chakula kinaonekana kwenye hizo keys kwa muda tofauti - in microseconds - hivyo huyo kuku kwa 'ujinga' wake anadhani ni chakula cha kweli na kudonoa. Na tabia ya kuku anapodoa chakula anatikisa kidogo kichwa, na huyo anafanya hivyo hivyo.
 
Ngoja nikanunue kuku nimfundishe na mimi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hapana mkuu, walianza kwanza kuonyesha tangu kikiwa kidogo kikifundishwa mpaka kuja kuwa hivyo, tangu kikiwa kifaranga, itafute hiyo clip kwa youtube ndio utaona uhalisia, kuna ile ya mbwa anaimba ile ndio iliniacha hoi
 
Ili kufahamu kama huyo kuku ni talented apewe kinanda kingine tofauti na hicho ambacho ni manual na rangi tofauti. Kwa sababu kuna uwezekano mkubwa hizo keys ni transparent na kinanda ni computerised, hivyo zinaonesha chakula anachopenda kuku, hivyo chakula kinaonekana kwenye hizo keys kwa muda tofauti - in microseconds - hivyo huyo kuku kwa 'ujinga' wake anadhani ni chakula cha kweli na kudonoa. Na tabia ya kuku anapodoa chakula anatikisa kidogo kichwa, na huyo anafanya hivyo hivyo.
Hata kama ni hivyo, kuku kwenye umati huo na alikua kashikiliwa na mwenye nae anamsogeza?? Khaa hivi hujui tabia za kuku za kuona aibu?? Huyu ni kuku meingine duniani
 
Hatari sana mkuu huyu kuku ana kipaji kuliko hata baadhi ya wanamuziki wetu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ili kufahamu kama huyo kuku ni talented apewe kinanda kingine tofauti na hicho ambacho ni manual na rangi tofauti. Kwa sababu kuna uwezekano mkubwa hizo keys ni transparent na kinanda ni computerised, hivyo zinaonesha chakula anachopenda kuku, hivyo chakula kinaonekana kwenye hizo keys kwa muda tofauti - in microseconds - hivyo huyo kuku kwa 'ujinga' wake anadhani ni chakula cha kweli na kudonoa. Na tabia ya kuku anapodoa chakula anatikisa kidogo kichwa, na huyo anafanya hivyo hivyo.
Aisee umewaza mbali sana
 
Naunga mkono hoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom