Weka picha acha manenoKama unahitaji kuku wa miezi 3.5 (kienyeji) wanapatikana kwa bei ya Tshs. 8,000/= kila mmoja. Kwa sasa wamebakia 125. Aliye serious tafadhali PM ili tupeane namba za simu na utaratibu wa kuwapata.
Napatikana jijini Mwanza - Igoma.
Mkuu na wewe pia unataka uwatapeli watu?Hawa kuku ni wa mkenya mmoja anaitwa Caleb Karuga,umechukua picha kwenye mtandao alafu unataka kumuuzia mtu!!Wewe hauna tofauti na wauzaji wa unga.