Ayusema
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 549
- 189
Habari wana MMU...
kipindi cha sikukuu(weekend ndefu) nikadondokea Mess ya jeshi maarufu sana mjini hapa(kisiwani kwa wazee wa ukawa) kupoza koo...
Baada ya chupa kama nne hivi akaja mhudumu mmoja, kaka nakuona muda mrefu huku akitabasamu kisha akaomba bia bila hiyana nikalipa kaunta akapewa bia na kupotea......
Baada ya dakika kadhaa kaja mwingine anamponda mwenzie(niliyemlipia bia) kuwa yule hana lolote, eti niondoke na yeye usiku mzima elfu hamsini tu na 0713 anatoa... kistaarabu nikamuuliza yeye ni mwenyeji wapi? akajibu Marangu Moshi... huku nikicheka nikamwambia mie nataka mwenye asili ya hapa hapa visiwani.... akasema hata uzunguke mji mzima huwezi pata...
1. Hivi hawa wenye asili ya visiwani huwa hawahudumii au wanapiga kazi lakini nje ya visiwani?? 2. Hawakubaliki nyumbani au?
3. Na kwanini 90% ya wahudumu wanatoka bara? kazi inalipa?
statistics za haraka haraka zinaonyesha kuwa 25% ya waliojiingiza katika mahusiano(Mapenzi) wanatumia 0713 (kama ni Me anapiga 0713 na Ke analiwa 0713 kwa huku visiwani, niliperuzi ktk blog moja though sina uhakika)..
Tujengane wana MMU kuku mgeni................. kuna ukweli wowote?