Kuku mgeni hakosi kamba mguun...

TUMBOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
3,877
Reaction score
2,069
Iv nikiweka mada umu na mi ni mgenii ntapata wadauu maana napenda kuchat lakin naogopa kukurupukia kucoment mada za watu wasije niona waajab buree
 
utazoeleka tu mi pia mgeni ila ssna papara
 
Iv nikiweka mada umu na mi ni mgenii ntapata wadauu maana napenda kuchat lakin naogopa kukurupukia kucoment mada za watu wasije niona waajab buree

Tumboo twako ni tungapi?
 
Hutaonekana wa ajabu kama utakuwa muungwana/mstaarabu na kucheza mbali na matusi na kejeli yasiyo/zisizo na msingi wowote. Karibu sana JF.
 
Iv nikiweka mada umu na mi ni mgenii ntapata wadauu maana napenda kuchat lakin naogopa kukurupukia kucoment mada za watu wasije niona waajab buree

Kwa shujaa kilienda kilio na kwa mwoga kilienda kilio jifunze ku, m 'dare ' usiogope methali za kibantu
 
mm cjui kuweka thread nianzie wapi jamani nimekuwa nikisoma tu comment anayejua ani pm anielekeze.
 
Nashukuru mung cjui kusema uongo..ila nmezoea kumdanganya only him pekeake coz na ye anandanganyaga

Nadhani si kuku mgeni tena.Ukitaka ujue mashushu ya kigumu na matusi mapya ulimwenguni jaribu kuingia jukwaa la siasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…