Kuku majogoo nayauza

Kuku majogoo nayauza

Albimany

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
281
Reaction score
114
Nina majogoo kama 20 nayauza bei ni Kati ya 13,000- 15,000 kulingana na kuku mwenyewe.

Kuku wapo Dar, nawauza ili kiwapunguza kwasababu majogoo yekua mengi katika Zizi langu .

Ni wakienyeji safi sio chotara,wana afya nzuri .

Pia naweza kubadilisha kwa mitetea walio waziri au kurudishiana kiwango cha pesa kulingana na thamani ya kuku.

Kuku wana wastani wa miezi mitano, sita.

Pia kama unao mitetea mizuri naweza kununua kwa bei tutakayokubaliana.

Mitetea lazima iwe Dar au mikoa ya karibu. ImageUploadedByJamiiForums1422127718.466719.jpg

068 686 1538
 
Picha hii ni mwezi mmoja nyuma kwasasa wamekua kidogo zaidi ya hapo.

Picha ni mchanganyiko wa kuku lakini mitetea haiuzwi.

Kama unahitaji kuuliza ni PM nitakujibu swali lako au uliza tu hapo chini ili wadau wengine wafaidike .
 
Back
Top Bottom