Kuku chotara wanauzwa

Kuku chotara wanauzwa

Nsemwas Junior

Senior Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
173
Reaction score
60
Mzazi wangu anauza kuku chotara,tetea 12,000 na jogoo 17,000.Kuku anafugia kibaha,mkikubaliana utafanyika utaratibu ili uletewe ubungo.Wastani uzito wa tetea ni kilo mbili kasoro mpaka mbili kamili na jogoo ni zaidi ya kilo mbili.Maelewano yapo kutokana na idadi ya kuku utakaohitaji.Picha zinaonesha ubora wa kuku hao...mawasiliano 0754 811266 au 0787 432596
 

Attachments

  • IMG-20141002-WA0003.jpg
    IMG-20141002-WA0003.jpg
    81.2 KB · Views: 150
  • IMG-20141002-WA0005.jpg
    IMG-20141002-WA0005.jpg
    75.5 KB · Views: 113

Similar Discussions

Back
Top Bottom