Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,515
Napajua mkuu jamaa wapo vizuri!yes pako poa..!! Nadhani utakua unapajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Napajua mkuu jamaa wapo vizuri!yes pako poa..!! Nadhani utakua unapajua
nimetoka kumuliza jmaa yangu Anasema ipo pia sehemu inaitwa ubungo...hiyo nadhani ndio mnayoisema ni chafu...ila hapo kariakoo pako safi kabisa..maana niliona watu wazito wazito😀 pia wanapiga vitu na ni safi
jamaa yangu kasema pia kuna sehem ipo inaitwa ubungo nadhani hapo ndipo hao jamaa juu wanasema pachafu.
hahahah hata bajaji panafikika hapo😀Lazima nichukue bodaboda nifike kariakoo nikichukua bajaji sifiki au njia ni ndogo maana kila anayesema kwenda kariakoo chukuwa bodaboda
hiyo kariakoo hawachomi kuku mchana....wanaanza mida ya saa moja moja Usiku na kuendelea.Ukienda mchana huwezi ona kitu.Wewe ikifika saa moja usiku chukua pikpik kwa usafir wa haraka mwambie boda akupeleke hiyo sehemu.Kariakooo singida iko wapi mim napajua Ubungo karibu na Usagara Rodge
Sasa mkuu hizo places unazotaja za bar na fast food hakuna tofauti akienda bar yoyote au fast food kwamba atakosa kuku choma. Hiyo kariakoo ni sehemu kwa ajili ya kuku choma na mishe mishe zinaanzia kwenye saa moja usiku ndo mida mizuri hapo.