Kuku aina ya Sasso wanauzwa

Kuku aina ya Sasso wanauzwa

meandi

Member
Joined
Mar 20, 2018
Posts
19
Reaction score
19
Habarini wana jf. Kama kichwa kinavyo jieleza. Kuku aina ya Sasso majogoo na matetea walio na umri wa miezi sita wanauzwa. Bei yake kwa majogoo inaanzia shilingi 15000/= -- 20000/= na kwa matetea ni shilingi 15000/=--18000/=. Wanafaa kwa kuliwa na kuendeleza kufuga. Wanapatikana Dar es Salaam Kiluvya kwa Komba. Kwa mawasiliano zaidi namba ya simu 0753 102 742
IMG_20180313_100215.jpg
IMG_20180311_100612.jpg
IMG_20180311_101313.jpg
IMG_20180311_102007.jpg
 
hao saso wanatofati gani na hawa kuku wa kawaida
 
Sifa yao kubwa ni kwamba wanakuwa na nyama nyingi kwa muda mfupi tofauti na hawa wa kawaida na wana nyama tamu(kwa ufupi ni breed ya kienyeji ambayo ni maalumu kwa ajili ya nyama), lakini pia ni wavumilivu wa magonjwa. Nadhani nitakuwa nimekujibu
 
Majogoo yako mangap?
Matetea yako mangap?
Je matetea yameshaanza kutaga? Mangap yanataga?
 
Majogoo yapo 30 na matetea yapo 45. Matetea machache yameanza kutaga Ila bado ni mmoja mmoja. Ambao wana taga kwa mtiririko unao eleweka ni 14.
 
Sifa yao kubwa ni kwamba wanakuwa na nyama nyingi kwa muda mfupi tofauti na hawa wa kawaida na wana nyama tamu(kwa ufupi ni breed ya kienyeji ambayo ni maalumu kwa ajili ya nyama), lakini pia ni wavumilivu wa magonjwa. Nadhani nitakuwa nimekujibu
Nahitaji wawili wanaotaga, watage, waatamie na watotoe. Hao wanaweza kufanya hivyo? Na wanaotaga au wanokaribia unao?
 
Sasso hawaatamii. Wao wanataga tu. Wanao taga na wanao karibia kuanza wapo. Karibu
 
Nitakutafuta mkuu ngoja nimalizie banda langu mi niko kimara korogwe. Nitawachanganya nifuge pamoja na wa kienyeji pure.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom