Haya sawwabado nasoma
We ndio umesababisha muonee,,,,ahhahaja utamuweza yule alivyo mbishii duniaaaaaHalafu naona mods wameuunganisha uzi wako.
Tena bora hata usimtangaze maana ntakuwa kila nikimwona ameandika kitu nam-challenge mpaka abadili ID.
We ndio umesababisha muonee,,,,ahhahaja utamuweza yule alivyo mbishii duniaaaaa
HahahahahaMimi ni mbishi sana, halafu kabla ya kubishana nahakikisha nina source za ku-backup ubishi wangu.
Wakati nasoma kuna kipindi watu walikuwa hadi wananiomba niwe upande wao kwenye ubishi, maana anajua nikishakuwa upande flani ndo tumeshashinda.
Au kama una mahali unaenda unaniachia nakushikia ubishi, ukirudi unaendeleza mwenyewe.
Hahahahaha
Basi kuanzia leo ntakuwa nakuita unisaidie kubishanaaa
SawaaaWewe niite tu uone ligi zangu.
Sawaaa
Mitihan ipi?Ha ha ha, eti sawa kama vile unapata hela kwenye kubishana.
Mitihani mnaanza lini?
Mitihan ipi?