BAdo una maumivu? Basi leo nakusamehe huendi twisheni angalia katuni na leo utakula chocolate.
Ndo ukubwa bado utagundua mengi, kuna siku nilikuambia "Kua uyaone"
Heeheh sawa mama. . .
Kuyaona kwenyewe ndo huku ehhh?Na kweli nimeyaona.
Anaechukia kwa kukosolewa "Mungu amsaidie"
ni hulka tu nadhani. Wengine hujiona wao hawawezi kukosea na tena ndo ukute yule mwenye dharau, yaani yeye ana watu wake amesha waweka kwenye category ya maamuma, sasa subutu yako ukamkosoa utajuta!! (watu wa aina hii wao maoni yao tu ndo sahihi wanavodhani)
Kukataa kukosolewa ni upumbuvu, muungwana hupenda kukosolewa au hata kusikia maoni ya mwingine na huwezi jua utajifunza kitu.
BUT again Lizzy, kuna watu huwa wana tabia ya kukosoa kwa 'kukatisha tamaa', hao huwa hawana nia njema!
anyways, binafsi anayenikosoa naamini ananipenda na ananitakia mema...
Hehehehe...
Nizoee tu ehhh?
hahahaa atamsaidiaje sasa Gee?
Sasa nipotezee kwa kutokukosoa na kukubaliana na kitu ambacho naona sio?Sidhani kama huo ni ujanja.Wao ndio wazoee kupingwa na kukosolewa bila kuchukulia personal.Ha ha ha, zoea na jifunze kupotezea, zamani nilikuwa ivo kuja gundua ndo maisha yalivyo.
Nkapotezea, sasa ivi raha tupu, bado makazini ndo utakimbia kabisaa
Nimekusoma BHT. .
Kweli wanaokosea kwa nia ya kumkatisha mtu tamaa hata mimi sikubaliani nao. . . ila wanaonishangaza zaidi ni wale wasiotaka watu wengine watoe maoni yao ikiwa ni tofauti na yakwao.
Heeheh sawa mama. . .
Kuyaona kwenyewe ndo huku ehhh?Na kweli nimeyaona.
Hao Lizzy ndio tunawaeka kwenye kundi la malimbukeni manake wanaamini wako perfect kwenye kila kitu wakati hakuna aliye mkamilifu chini ya jua. Ukifahamu kuwa kila binadamu ameumbwa na madhaifu yake naamini kabisa hutachukia kukosolewa....manake hujakamilika!Nimekusoma BHT. .
Kweli wanaokosea kwa nia ya kumkatisha mtu tamaa hata mimi sikubaliani nao. . . ila wanaonishangaza zaidi ni wale wasiotaka watu wengine watoe maoni yao ikiwa ni tofauti na yakwao.
Lizzy we piga kitabu usiendekeze mambo ya hapa ambayo wakati mwingine yanaweza kabisa kukuacha mdomo wazi. Nakutakia mchana mwema katika kipande hicho cha dunia.