Kukosekana Chadema ndani ya bunge pengo linaonekana dhahiri, nawakumbuka Tundu Lisu na J J Mnyika!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,919
141,885
Kiukweli baada ya kusikiliza mchango wa Sophia Mwakagenda na nukuu zake za maandiko matakatifu ni dhahiri Chadema haina wabunge pale.

Hii siyo Chadema ile ya akina Tundu Lisu na J J Mnyika

Nakubaliana na Daudi Mchambuzi kwamba wale covid 19 siyo mali ya Chadema.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwenye hoja za leo nimemuelewa Mariam Ditopile na Elibariki Kingu.
 
Back
Top Bottom