Kukosa nafasi hata ya ku-volunteer

Kukosa nafasi hata ya ku-volunteer

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,624
Waungwana salama jamani, sasa karibia mwezi tangu nipeleke Cv yangu pale Aga Khan Hospital ya kuomba nafasi ya kuvolunteer kwa nafasi ya Umeme lakini mpaka sasa naona kimya, Hivi niendelee kuvuta subira ama nikate tamaa tena ya kupata nafasi?
 
ukweli ni kwamba usipokua mfuatiliaji mambo yanakua mazito! ninachokuomba usikate tamaa fuatilia na pia volunteer usiombe sehemu moja kwani ni wachache wanaokubali jitahidi kupeleka sehemu mbalimbali najua ipo sehemu moja wapo mungu atakupokelesha!
 
Shukrani kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom