da viper
Senior Member
- Dec 3, 2013
- 158
- 43
Hivinajiuliza hawa wasafi wameshindwa kuwa creative?
Mbna kila kipindi au mradi wanakopi?
Kuanzia kivumbi cup-ndondo cup
Block 89-fnl
Wasafi festival-fiesta
Superwoman-malkia wa nguvu
Sports arena-e sports
Refresh-e news/clouds e
Ifike pahala waache huu upuuzi, wanaboa kiukweli
Hata tv yao hawana vipindi creative na endelevu, vinaanza na kuishia njiani
Tv haina kipind kinachoeleweka muda wote ni muziki tena wa kurudia rudia, boss wao akifanya besdei wako live sijui nan kafanya nn wako live hawana msimamo kwa kweli yaan vurugu mechi tu
Sent using Jamii Forums mobile app