Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,345
- 10,822
Aisee nimeshangaa Sana, Kuna kijana mmoja anafanya kazi mwanachi communications Ni rafiki yangu wa Miaka mingi, japo hatuonana kwa Miaka sasa.
Kuna Siku alinipigia simu akasema amekwama Sana nimkopeshe 50K. Kwakweli kutokana na urafiki wetu nikamkopesha, Alinitumia na salary slip yake take-home yake Ni Kama 3M na ushee.
Cha kustaajabisha kapotea hewani napiga simu inakatwa na sasa kaniblock. Nimeshangaa mtu na hadhi yake wa wadhfa anawezaje nidhulumu elfu hamsini.
Amakweli nimeshangazwa na tendo la huyu kijana mwenye wadhfa wake.
Sent using Jamii Forums mobile app