Ah kila mtu na starehe yake mrembo maana wapo wanaokunywa mabia tuuUkiendekeza sana ni uchizi lkn
Ah kila mtu na starehe yake mrembo maana wapo wanaokunywa mabia tuuUkiendekeza sana ni uchizi lkn
Saa 50,000 mtu aweke bond nini?Sikopeshi mtu kirahisi, week kitu Bondi chenye thamani ya pesa unayotaka au zaidi. Tofauti na happy kwaher
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuh tar 13 mtu anaishiwaje???Mbona mapema sana?issue ya kawaida kabosa hiyo kwa wafanyakazi, kuna tarehe za mkwamo hapo kati ya mwezi kuanzia tarehe 13 mpaka kupata salary
Kwa 3m?! Yani kwa matumizi yami m3 iishe katikati ya mwezi au unatumia 200k per day?!
Saa 50,000 mtu aweke bond nini?
Hela nyingine unatoa tu akikudhulumu ndo anakua amejifungia milango ya kusaidiwa siku nyingine...
Mtu akikukopa kama huna uhakika nae mpe kiwango kidogo cha ile aloomba. Kiasi ambacho hata asiporudisha haikuumizi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh!Kuna watu hawaogopi kudaiwa
Kuna watu hawaogopi kudhulumu
Kuna watu hawaogopi kupoteza urafiki kwa sababu ya deni
Jr![]()
Mi kuna mtu namdai zaidi ya mwaka siku nimemdai sana akaniambia milion 2 tu ndo namsumbua ivoMimi namdai rafiki yangu 750,000/= mwaka mmoja sasa nazungushwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu anayekuua ni mtu wako wa karibu'ujue!Sikopeshi mtu kirahisi, week kitu Bondi chenye thamani ya pesa unayotaka au zaidi. Tofauti na happy kwaher
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nalo ni neno.Wee unajua papuchi i aweza kumufilisi hiyo m3 ikaisha ndani ya wiki
na bado sku akigoma kukulipa ukimchukulia hatua za kisheria atashangaa tenaNa rafiki yako wa karibu akitaka kukukopa umwambie akupe dhamana anakushangaa.
Hayo yote achana nayo maana ada haulipi kula mweziKuna mikopo na matumizi ya familia na shule kwa watoto, hapo hujaongelea extended families. Hiyo 3M inayeyuka fasta
Mimi kuna mtu nataka "kumroga" kwa kutaka kunidhulumu zaidi ya 2M tangu 2015 hadi leo!Aisee kukopeshana me hapana. Same things kimetokea kwangu dah. Yaani mtu alikua na shida sana akaomba 200,000/= dah nikajitoa nikampa aisee tokea July 2019 Hadi 2020 kanilipa 50,000 tu viteteo kibao. Sema basi tu life goes on.
Hilo jina lako linanikumbusha dada flani tulipiga wote chuo na alikuwa rafiki yangu sana ila tukaja kuzinguana kiasi hadi tunamaliza chuo tulikuwa hatusalimiani.
Yaweza kuwa yumo humu kwa ka I'd flani anakuchora tu
Sasa hayo mambo yakujuana sana hua yanafanyika PM mkuuHilo jina lako linanikumbusha dada flani tulipiga wote chuo na alikuwa rafiki yangu sana ila tukaja kuzinguana kiasi hadi tunamaliza chuo tulikuwa hatusalimiani.
Sasa sijui ndo wewe, ila hapana yule sidhani kama anaifahamu hata jf.
![]()