Alafu unajua ndio maana mabenki yanatajirika kwa kupitia uninga wetu. Tungekuwa twakopesha na kurudishiana in time mbona hamna haja ya kwenda bank.Aisee kukopeshana me hapana. Same things kimetokea kwangu dah. Yaani mtu alikua na shida sana akaomba 200,000/= dah nikajitoa nikampa aisee tokea July 2019 Hadi 2020 kanilipa 50,000 tu viteteo kibao. Sema basi tu life goes on.
Wafu wapuuzi sana.

hakishindikani kitu