Kukopa ni umaskini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukopa ni umaskini?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ziroseventytwo, Nov 18, 2011.

 1. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,537
  Likes Received: 1,533
  Trophy Points: 280
  Ndg wana JF, salaam, naomba kukopa ni umaskini? Kwa mfano, tunaambiwa mataifa lenye uchumi mkubwa,ni marekani, ujerumani,japan nk. Vp mbona yana madeni kwenye taasisi za fedha? Kama WB, IMF nk? Uchumi wa haya mataifa unakuwa kwenye nini,..inakuwaje mataifa haya uchumi wao ukidorora mataifa yanayokuwa kiuchumi nayo yatikisike? Mwenye uelewa na mambo haya ya kiuchumi anifafanulie hapa. Ahsanteni!
   
 2. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ntarudi kupiga chabo badae
   
Loading...