Kukopa Fanikiwa Microfinance

Kukopa Fanikiwa Microfinance

Hapana mkuu,

Nmetoka kuulizia Hilo swala juz ya tar 28/12/2018 nlipopeleka marejesho

Nmeambiwa
Wameshusha kutoka 22% hadi 20% kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni 17% Kama walivyojibu NMB hapo chini kwa wafanyakazi , MSE na SME nafikiri bado wamesimamia 19% kwa 20%
IMG_20190103_171212.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni Kweli mkuu,
HEBU BASI TUIFANYE KWA MIAKA 2

Itakua
393,250 × 24 = 9,438,000

Riba yao itakua ni sh.4,438,000

Ambayo ni sawa na 88.76% KWA MWAKA

Kiukweli,
Hii bado Naiona ni Riba ya kumfanya MTU aishi kama SHETANI kipindi chote cha MKOPO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli microfinance nyingi huwa wanatafuta faida kubwa kwa kuwaminya wateja ni bora kwenda bank moja kwa moja au saccos.
 
Wadau naomba kuuliza kwa wale ambao wamewahi kukopa Fanikiwa Microfinance,
Afisa Mikopo wao kaja kunitembelea na kunishawishi kukopa kwao. Akanieleza kuwa ukikopa mfano milioni 5 kwa miaka miwili unaweza ukakatwa 393,250 kwa mwezi. Lakini kama nitaweza kurudisha mkopo baada ya miezi sita kabla ya muda wenyewe wa mkopo ina maana nitatakiwa kurejesha (393,250 X 6) Jumlisha (5,000,000 - (393,250x6)). Yaani utalipa ile ile amount ya milioni tano hivyo utaepuka ile riba uliyotakiwa kulipa ndani ya miaka 2.
Je hii ni kweli au kauli za kushawishi tu?

Sijaelewa au ni nini..... Yani m5 unarudisha 300k+ two years!????


Mbona haiwezekani. Embu mpigie simu akueleweshe vizuri.
 
Ujambazi uliotukuka.....!!!!!
Hilo ni Kweli mkuu,
HEBU BASI TUIFANYE KWA MIAKA 2

Itakua
393,250 × 24 = 9,438,000

Riba yao itakua ni sh.4,438,000

Ambayo ni sawa na 88.76% KWA MWAKA

Kiukweli,
Hii bado Naiona ni Riba ya kumfanya MTU aishi kama SHETANI kipindi chote cha MKOPO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom