Kukomaa kwa Gamba la CCM

Kukomaa kwa Gamba la CCM

Ehud

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
2,685
Reaction score
338
CCM wametangaza kujivua gamba...lakini nyoka mnyama ambaye ndiye haswa mwenye sifa ya kujivua gamba hufanya hivyo kila baada ya muda fulani kwani gamba hilo hukomaa tena. Je CCM wameweka utaratibu wa kujivua gamba baada ya muda gani? Je kama nyoka anavyokufa baada ya kujivua gamba mara kadhaa wao CCM tutarajie kifo chao lini?
 
Observation safi, sina hakika kama Mwenyekiti alifikiria hili kabla ya kutangaza au ilikuja tu (spontaneous) palepale kwenye kikao. (Ni mshairi yule na mkuza lugha, huoni kama ametuongezea msemo?)
 
Back
Top Bottom