ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,557
- 44,747
Najua hii tabia wanayo binadamu wengi unakuta mnaogelea katika pool mtu anabanwa mkojo badala aende toilet anaamua kumalizia shida zake humohumo ndani.
Mwingine ndo shenzi wahed anakunya kabisa. Unaweza ukashangaa kinyesi kinapanda juu ya maji. Aisee kweli nimeamini kila mtu ana upumbavu wake.
Usichoweza kukifanya wewe mwingine anakifanya and vise versa is true.