cz mkojo rafiki yake ni mate...liquid to liquid OVA.
...mkojo upi unazungumziwa hapa...kidogo napata mkanganyiko!

Sisi kule kwetu Sumbawanga maeneo ya Kalambanzite na tarafa ya Mpui karibia na Nambogo hii kitu ya kutemea mate mkojo ambao umekojoa mwenyewe ilikua inaambatana na imani za kishirikina kwamba unapokojoa njiani ni rahisi mchawi kuja kuufanyia mkojo wako mazingaombwe.So tuliambiwa na wakubwa kwamba ukimaliza kukojoa then ukautemea mate yaani hata atokee mchawi wa wapi hawezi kuutumia mkojo huo kukufanyia mazingaombwe. Sasa sijuimakabila mengine wao wanatemea mate kwa maana zipi lkn pia mimi siku hizi baada ya kuokoka sifungwi tena na sheria kwa hiyo siutemei mate mkojo wangu baada ya kukojoa iwe barabarani au hata vichochoroni

....mkojo upi unazungumziwa hapa...kidogo napata mkanganyiko!
Huo unaotaka kuusema wewe huwa tunatema mate kwanza ndo tunatoa mkojo.
.
Kumbe kuna mikojo aina anuai eeh.. Ngoja wenye maujuzi waje nami nielimike!
Mtu akikanyaga mkojo hautavimba nanili ....
Upepo ukivuma hauta beba mkojo kwa mashetani .... . Mate ni kinga 🙂
Story tulizokuwa tunapeana utotoni ....
wadau, mimi naomba au napenda nielimishwe :help: kuhusu hii tabia ya watu (hasa wanaume) kutemea mate mkojo alioukojoa yeye mwenyewe (hasa anapokojoa kandoni mwa-barabara/njia).
je, kuna uhusiano gani kati ya mkojo na mate ya mkojozi....????
nawasilisha......!!!!!! :A S-confused1: