jema rashid
Member
- Oct 4, 2014
- 80
- 15
Una kilo ngapi? Na umepima presha, nashauri nenda hospital nyingine yenye hadhi, usikate tamaa.
Nina kilo 85.sina presha.
Una kilo ngapi? Na umepima presha, nashauri nenda hospital nyingine yenye hadhi, usikate tamaa.
Umeshaambiwa hapo juu nenda kapime kuna uwezekano una ugonjwa wa kisukari,Nina kilo 85.sina presha.
Umeshaambiwa hapo juu nenda kapime kuna uwezekano una ugonjwa wa kisukari,
Mkuu wala huna tatizo kabisa,Tatizo pekee ni kwamba unakunywa maji mengi sana hata kama huna kiu hapo lazima utakojoa mara kwa mara wala sio ugonjwa mkuu,punguza kunywa maji mengi kupita kiasi
Jamani tatizo langu ni kukojoa mara kwa mara ninapokunywa kimiminika chochote. Hali hii hunikosesha raha maana kama nina mkutano inabidi nisinywe chai wala maja.
Kitendo cha kunywa glass moja ya maji au kikombe cha chai kinanifanya nihudhurie maliwatoni kila baada ya dk 7 hadi 10 mara 3 au 4 ndo nakuwa sawa.
Nikinywa bia hali ndio inakuwa mbaya zaidi... Hali hii inaninyima raha sana. Je ni tatizo gani na nifanye nini?
==
==
Sababu za kukojoa mara kwa mara
Wanaume,hasa wenye umri mkubwa husumbuliwa na ugonjwa wa Saratani ya Tezi Dume Prostate (Tezi kibofu ya mamalia Dume). Ni tezi iliyo kwenye viungo vya uzazi vya wanaume kilicho chini ya kibofu panapopitia mrija wa mkojo.Kazi ya prostate ni kudhibiti kibofu na mtiririko wa mkojo.
Pia ni muhimu katika tendo la ndoa kwani humwezesha mwanamume kuwa na nguvu ya kufikia kilele. Inatoa asilimia 95 ya ute unaosafirisha mbegu za kiume kwani ina nguvu ya kusukuma ute ulio na mbegu ili
upite kwenye mrija wa kukojolea na kutoa mbegu n-nje.Prostate ya kawaida kwa mwanamume mtu mzima ina ukubwa kama punje ya karanga na ukubwa huu huongezeka kadiri mtu anavyokua,
hasa pale anapofikisha umri wa miaka 40 na kuendelea. Katika umri wa miaka 40 tezi huanza kutanuka na
kadiri inavyotanuka, hubana mrija wa kupitisha mkojo na kufanya mkojo utoke kwa shida na kusababisha tatizo katika tendo la ndoa.
Dalili za mwanzo ni kwenda haja ndogo mara kwa mara, hasa usiku; haja ndogo isiyoweza kudhibitiwa na mara nyingi mtu huweza kujikojolea. Pia mkojo hutoka kwa udhaifu ama kwa kukatika katika, kupata shida wakati wa kukojoa wakati wa kuanza au kumaliza.
Wakati mwingine mwanamume hupata maumivu wakati wa kukojoa na hata kutoka damu. Maumivu huenea kwenye sehemu za mgongo, kiuno na sehemu za juu ya mapaja na kupunguza uwezo wa tendo la ndoa au kupata maumivu wakati wa kufikia kilele. Pia kutokuwa na amani au kuhangaika wakati wa tendo la ndoa.
Matatizo mengine ni kupata maambukizi ya magonjwa kwenye kibofu, njia ya mkojo na figo. Kwa hiyo mkojo hubaki kwenye damu na kuwa sumu. Utafiti waonesha kuwa asilimia 50 ya wanaume wa umri kati ya 50 na 70 wana shida ya kutanuka tezi la prostate. Asilimia 25 ya wanaume wenye umri wa miaka 30 wana chembechembe za prostate cancer.
Prostate Cancer ndio aina kuu ya Cancer (saratani) inayowashambulia sana wanaume na yaweza kuwa hafifu, inayotibika au kumdhuru mtu na kumwua. Nenda Kapime hospitali Maradhi ya Prostate cancer Tezi Dume.
Hajasema kam yeye ni mwanamke Mkuu kimbisi mbisi ningelimjibu labda kaeleza maelezo yake pasipo na kusema yeye ni Mwanamke au Mwanamme?Sasa mzizi Mkavu mwuliza swali ni mwanamke, sidhani kama umemjibu mkuu.
Jamani tatizo langu ni kukojoa mara kwa mara ninapokunywa kimiminika chochote. Hali hii hunikosesha raha maana kama nina mkutano inabidi nisinywe chai wala maja.
Kitendo cha kunywa glass moja ya maji au kikombe cha chai kinanifanya nihudhurie maliwatoni kila baada ya dk 7 hadi 10 mara 3 au 4 ndo nakuwa sawa.
Nikinywa bia hali ndio inakuwa mbaya zaidi... Hali hii inaninyima raha sana. Je ni tatizo gani na nifanye nini?
==
==
Hajasema kam yeye ni mwanamke Mkuu kimbisi mbisi ningelimjibu labda kaeleza maelezo yake pasipo na kusema yeye ni Mwanamke au Mwanamme?
Sijuwi labda aende Mjini Mwanza au Mkowa Kiliamnjaro au mjini Dares-salaam mikoa mingine siwezi kujuwa.Kwa huku mikoani Mwa Tanzania sumbawanga kw eli Kuna hospitali za kuchunguza tezi dume?
Wadau,
Home kwangu naishi na Kijana mmoja, shemeji yangu ambae yuko likizo. Leo ni siku ya nne ananiambia amekua akibanwa na haja kubwa kila mara, tuseme kila baada ya dakika 10-15 au hata 20 sometimes. Nimemuona hata nikiwa nae anaenda sana Chooni.
Nimejaribu kuangalia life style yake, jamaa anakunywa sana Juice na Maji but hii sio mara yake ya kwanza kuja kuishi kwangu, na kujipendelea juice na maji vya kutosha, huko kabla hakuwahi kua na hii problem.
Leo asubuhi kaniambia kajaribu kuonja mkojo wake akakuta mtamu mtamu, sasa issue ni kwamba huu ni ugonjwa au kawaida? Why now na sio kabla while life style ya juice anayo toka kabla?
Msaada please!!
Mara haja ndogo mara kubwa niaje? Mwambie anye kadri awezavyo.
Aende akapime kisukari, kwani hiyo ni dalili moja wapo ya ugonjwa wa kisukari
Wewe ulisema mkeo kazaliwa peke yake....leo hii shemeji katoka wapi?
aaah kama mkojo ni mtamu iyo ni diabate. msii aache kunywa juice zenye suksri haraka sana. aanze dozi ya kisukari faster dawa ni Gemma 1.