Kukoja kila baada ya kumaliza tendo

Kukoja kila baada ya kumaliza tendo

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
567
Reaction score
400
Kabla ya natanguliza shukrani zangu kwa ushauri ninaoupata mara kwa mara ndani ya majukwaa mbali mbali ya jamii forum
Tafadhali kuna tatizo linalonisumbua la kukoja mkojo wa kawaida kila ninapomaliza tendo moja la kujamiina(goli moja kwenda jingine)pindi ninapokua na mpenzi wangu.

Tatizo hili lilianza nilipoku a chuo kikuu na bado linaendelea.

Ninapotaka kuingia round ya oiki sina budi kukoja kwanza mkojo wa kawaida ndio niende hiyo round vinginevyo nikifanya hivyo hivyo siwezi kumaliza hata kidogo zaidi ya kuchoka mimi na mwanadani wangu.

Tafadhaali naomba kujua nini chanzo cha tatizo hilo na matibabu yake.

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Ni kawaida huna tatizo lolote….kibofu cha mkojo kipo nyuma ya uume na mirija ya mikojo…mirija hio hio inayotoa mkojo ndo inayotoa shahawa ,kwasababu maeneo hayo yanakaribiana ni rahisi kupata stimuli ya mkojo baada ya kujamiiana.Unapaswa kufanya ni kukojoa kabla hujamuingilia mwezi wako,kisha utaepuka kuenda haja ndogo baada ya tendo.
 
Sikua najua kumbe wewe ni doctor mzuri ivo
 
Tena ni afya kwako coz ukikojoa unasafisha njia, kwa sababu ki kawaida huwa haziishi zote, ukimaliza unakua umesafisha njia.
 
Back
Top Bottom