Kukithiri kwa Rushwa ya Ngono! nini kifanyike?

Kukithiri kwa Rushwa ya Ngono! nini kifanyike?

hii thread itanifanya nione kila mwanaume anayefanya nakumatt pale moshi ameshapigwa ndogo... maana ndicho wanacholalama hapo
Hata mimi imenistua yaani wanawake na wanaume nao wameliwa tigo lol sipati picha ndio mumeo/mkeo sasa anafanya kazi hapo. Bora wangetoa malalamiko yao bila kudisclose haya makitu haya lol.
 
^^
Serikali ni sisi wenyewe,,serikali za vichwa vyetu zianze kwa kuwa na msimamo wa miili yetu.
^^
Bado najiuliza hivi ni nani ataanza kuwachukulia hatua hawa matajiri juu ya suala hili la ngono, Mmmhh mmh bado sioni aisee. Ni kweli hawa wanaolazimika kutoa hii rushwa ni kwa sababu ya ujinga wao, mmmh bado najiuliza. Nadhani kuna wanaojikuta hawana alternative. Sasa shida iko wapi, hawa matajiri sheria wameiweka mikononi mwao nani atakusikiliza ukipeleka hii kesi kwake. Si baadae utashitakiwa wewe tu au dai lako litatupiliwa mbali. Najaibu kujiuliza kifanyike nini ili kuondoa hii kero.Mkumbukeni miss strong issue yake
 
Last edited by a moderator:

Njaa Njaa Ablessed Yanaendelea kwa sababu ya njaa
^^
 
Last edited by a moderator:
Hapo hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa juu ya watuhumiwa. Jambo hili limelalamikiwa sehemu nyingi za kazi hapa nchini lakini hakuna nia yoyote inayoenekana kushughulikia tatizo hilo.
 
^^
Njaa Njaa Ablessed Yanaendelea kwa sababu ya njaa
^^

ni kweli chanzo cha tatizo ni njaa ya anayetafuta kazi au anapata mshahara mdogo hivyo anataka kupandishwa vyeo ili apate mshahara wa juu!!! lakini kwa nini tukose utu tuishi kama wanyama!!! kwa nini serikali iko kimya juu ya suala hili!!! siku hizi ni nadra sana mwanamke akiomba ajira katika ofisi fulani asiombwe kutoa rushwa ya ngono!!! na kama hatoi hamna ajira!!!
 
Kwa historia ya tatizo lilivyo kwa sasa intervention ya serikali ni muhimu. Tatizo ni kubwa na njia mojawapo ni kuua chanzo cha tatizo. Kama vyombo husika vya dola vingekuwa na nia ya kupambana na hii kitu, ingezuilika kirahisi kuliko kutegemea washawishiwa kushinda vishawishi. Wengi wataoshinda kishawishi ni wenye alternative, lakini wasio nazo wataangukia huko tu.
unataka serikali ifanye nini, kwa mfano?
hao watu wangekuwa wanabakwa tungesema kitu kifanyike, lakini wanafanya kwa hiari yao....
hawana alternative? hili sikubaliani nalo......
short cut ndo zinatupeleka huko
 
Hapo mi ndo nashindwa kuelewa. Watu wanafanya biashar chafu huku wakijua wazi matokeo yake ikiwa ni pamoja na kufungwa, kunyongwa n.k. Back to topic rushwa ya ngono haiwezi kuisha iwapo kama unyanyasaji wa kijinsia hautawekewa sheria kali. Nachelea kusema wanaotoa rushwa ya ngono ni uzembe wao, wakati mwingine si kosa lao baadhi wanalazimika kukubali eg mtu katafuta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio na wengine wana watu wanaowategemea. Sasa anapoombwa rushwa ya ngono inakua vigumu kwake kukataa. Wengine wanapata manyanyaso sana kazini hasa boss anapokua amemtaka. Anakua na wakati mgumu sana na pengine kufikia hatari ya kufukuzwa kazi. Sasa nini kifanyike mimi kwa mtazamo wangu inapaswa pawe na sheria zinazomlinda mwanamke na zizuie unyanyasaji wowote wa kijinsia na hatua kali ziwekwe bayana lili wahusika waweze kuogopa mbona wenzetu wa magharibi wameweza tena hakuna watu wanaovaa vibaya kama hawa. Nieleweke vizuri sio kwamba nahalalisha hii rushwa ya nono la hasha ila nataka kuzungumzia uhalisia wake wapo wasioweza kujitetea au kukataa sasa ikiwekwa sheria na ikasimamiwa basi itawasaidia hawa wenye roho nyepesi
kwani mpaka sasa hakuna sheria inayomlinda mtu na unyanyaswaji makazini?
mtu sababu anataka hiyo promotion anaona atoe rushwa ya ngono ili aipate, lakini kama kweli anastahili hiyo promotion na boss anamnyima sababu tu kakataa kumpa rushwa si anaweza kushtaki ili apewe haki yake?
mimi sikubaliani kabisa na neno "hakuwa na la kufanya" au "alilazimika"
 
Ni kweli wapo wanaofanya kusudi tu au kwa tamaa ya malia na vyeo. Hizi sheria zipo lkn kwa jinsi nchi yetu ilivyojaa rushwa kila kona hakuna awezae kupata haki pindi anapolipeleka shauri la namna hii mbele ya sheria. Kuna boss mmoja bank flani maarufu nchini inasemeka huyo bila kuzini nae hupandishwi cheo sijui kama kweli. Mchezo anaokufanyia sasa sijui kama kweli pia yaani anakuandalia safari ya mkoa kisha na yeye anakuja huko huko sasa kazi kwako kusuka au kunyoa. Mimi naona ifikie wakati sheria zianze kufanya kazi hapo ukombozi wa mwanamke tutakua tumeufikia. Wapo wenye tabia mbaya hatuwezi kuwazuia ie wanataka wenyewe nakumbuka kuna boss mmoja alipoajiriwa mahala flani na kupewa cheo cha juu wamama wakaanza wenyewe kumfuatilia hawakujua kama ndugu huyo biashara hizo hafanyi mwisho waligonga mwamba, sasa wanamna hii ni vigumu kuwasaidia. Kweli wanaudhi na wanakera mno
 
Back
Top Bottom