Huyu mzee kipindi chak ndio walikuwa wasisis wa rushwa so walikuwa wakipiga madili madogomadogo, lakini kwa sasa anaona wivu wenzie wanavyopiga madili marefu ya mabilioni.
CCM na rushwa ni zaidi ya mbwa na chawa....au Mnywa Gongo na Gongo yake!..! Ukitaka kuondoa Gongo mtaani, lazima umwondoe kwanza mnywa Gongo...! na Gongo itatoweka, itakosa mnywaji! Ili kuiondoa Rushwa...lazima CCM kwanza ing'ooke....! Sumaye ni 'nabii wao' lakini tukumbuke na JK alishawaambia 'wenyewe' kuwa mwisho wao yaelekea ni 2015....tunaona mwelekeo taaratiib....tusubirie..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.